NUNUA AREA CODE KWA SH 40000 JICHUKULIE TIKET YAKO MAPEMA KWA MPESA PIGA NAMBA +255 753 093 674

NUNUA AREA CODE KWA SH 40000 JICHUKULIE TIKET YAKO MAPEMA KWA MPESA PIGA NAMBA +255 753 093 674
WASANII/DJS/MCS/WADAU WA MZIKI TUJUANE NA TUFAHAMIANE EVENT ITAFANYIKA TAREHE 29/10/2017

Wednesday, October 18, 2017

New Music Apriciation| SAIDA KAROLI BY KAMDINGI FULANI | Download

Kamdingi Fulani anatusogeza karibu na nyimbo yake mpya ambayo amemuimbia saida karoli (Apriciation Kwa Saida) Nimoja ya nyimbo inajumuishwa kwenye Album yake ya pili
ambayo itakua najina AKANYONDO.
Kamdingi fulani ni msanii pekee ambaye aliwai kuajiriwa na Saida Karoli kama Dj Wake,
Saida karoli ndiye pia aliye mpeleka studio Kamdingi Fulani
Kwa mara ya kwanza.
"Nukuu"(Ninakila sababu ya kuingia studio na kurecord nyimbo kama zawadi yangu kwa mama yangu mpendwa alienionyesha njia 
ya kua Kamdingi Fulani)
Album ya kwanza ilikua na nyimbo Takriba 8
*Otaye
*Nakutogile
*Bandogile
*Emali ya liba
*Wakatenza
*Niwe wange
*Nkolela Iwe
*Naogopa
*Etc

NASASA AMEMALIZA KUPIKA ALBUM YA PILI 
*Akanyondo
*Saida Karoli
*Loading..........

New Music | Nkunyurule - Man Kacha ft Zuru Rasta | Watch/Download


Tuesday, October 3, 2017

Saturday, July 29, 2017

Tuesday, May 9, 2017

Monday, May 8, 2017

New Music - Masai - Jasmini Kokwenda (The African Lady)


Artist - Jasmin Kokwenda
Song - Masai
Prod - Shedy Clever 
Tell +255 767 450 651
Jasmini Kokwenda @Facebook@Instagram@Twiter 

New Music - Wa Thamani - Nyota Elio ft Young Real

Song - Wa Thamani
Artist - Nyota Elio ft Young Real
Producer - Sam Master

Thursday, April 6, 2017