VETERAN KUTIKISA NYAVU YA BUWASA LEO !!!!!!!
Ni mechi kati ya Buwasa fc na Bukoba veteran fc katika uwanja wa Ihungo secondari wakitoa salamu kabla ya kuanza mchezo chini ya mshika kipenga HAMADA SIMBA.
TIMU YA BOWASA
BUKOBA VETERAN
Mauridi juma kipa wa Bukoba veterani wakati akisema na mpira baada ya bowasa kutuma kombora
Ndani ya dakika 90 ilikuwa ngoma drow na ushindi ukaamuliwa kwa mikwaju ya penat na Bukoba veterani akinyanyua ushindi kwa penat 3-1
No comments