Breaking News

KUTOKA MAKABURINI MUDA HUU WATU WAANZA KUREJEA MAKWAO BAADA YA KUONA MWILI WA MAREHEMU HAUFIKI NAULI ZAPANDA MPAKA KUFIKIA 1000 MUDA HUU


 BODA BODA ZIKIWA ZIMEBEBA ABIRIA KURUDISHA WATU MAKWAO
 JOPO LA WATU WAKIA WANARUDI MAKWAO
 ULINZI UMEIMARISHWA ZAIDI KUTOKANA NA ONGEZEKO LA VIBAKA




 DALA DALA ZIKIWA ZIMEJAA HUKU NAURI IMEPANDA MPAKA KUFIKIA 1000
PICHA ZOTE NA TONE MEDIA LIVE GROUP ENEO LA TUKIO

No comments