LIVE!! SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU KANUMBA(MAZISHI) MUDA HUU MAKABURINI
Hii
ni barabara ya Kinondoni kuingia kwenye makaburi ya Kinondoni ilikuwa
ni balaaaa yani dah, kule mbele ndio mwili wa marehemu Steven Kanumba
ndio unakuja
Kwa wingi wa watu ilibidi watu wapande juu ya miti lakini baadae waliamuriwa washuke chini na kamanda Kova
Ray akiwa aamini kama swaiba wake ndio anakwenda kwenye nyumba yake ya milele
Charlz Baba akiwa na wenzake kutoka Mashujaa Band, Charz ameniambia walikuwa wanatokea Morogoro so waliweza kuwahi makaburini
No comments