MATUKIO NA PICHA ZA MAZISHI YA BABA MZAZI WA BK SANDE
MAREHEMU MR ALBANO
MAMA MZAZI WA BK SANDE
KAKA MJUNI NA DADA YAKE BK SANDE
MAMA MZAZI WA BK SANDE
MSANII WA HIPOP BUKOBA VEST P AKIWA NA DANCER SOKOMOKO NAO PIA WALIFIKA KUMFARIJI MSANII BK SANDE
KAKA YAKE BK SANDE KUSHOTO
KUSHOTO NI MSANII WA HIPOP BK VEST P
NI VEST P PAMOJA NA MUIGIZAJI WA FILAMU BUKOBA ANAFAHAMIKA KAMA CHUKI
HII NDIO NYUMBA YA MILELE YA HAYATI MR ALBANO
KAKA YAKE BK SANDE MR ALBERT
BK SANDE NA KAKA YAKE
MSANII MR MOSSY PIA ALIKUEPO
MMOJA KATI YA KAKA ZAKE BK SANDE
MUIGIZAJI WA FILAMU SIMA NAYE AKIWA NA RAFIKI ZAKE ALIKUEPO
NI MOSES WA KAKAU BAND ,PETER,NA DANCER NYAKA PIA WALIUSIKA
MAREHEMU MR ALBANO AKIPELEKWA KWAAJILI YA SALA ZA MWISHO
MAANDALIZI YA MISA YAKIENDELEA
KATIKATI NI MAMA MZAZI WA BK SANDE MA SELINA AKIWA NA NDUNGU ZAKE WALIO FIKA KUMFALIJI TOKA MBEYA
MMJA WA KAKA ZAKE NA BK SANDE
MA SELINA
BABA MDOGO YAKE BK SANDE
MOSES /PETER WAKITOA SALAMU ZA MWISHO
SHEMEJI MAMA JUNIOR
KAKA YAKE BK SANDE
WANAKWAYA
DADA YAKE BK SANDE
MAMA MZAZI MA SLINA
MMOJA KATI YA DADA ZAKE BK SANDE
DADA YAKE BK SANDE
MSANII VEST AKIMPA MKONO BK SANDE
HATIMA YA MWISHO YA MAZISHI YA BABA MZAZI MR ALBANO
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MR ALBANO MAHARI PEMA PEPONI AMINA
Picha na faswia aka Chuki
No comments