New Music Apriciation| SAIDA KAROLI BY KAMDINGI FULANI | Download
Kamdingi Fulani anatusogeza karibu na nyimbo yake mpya ambayo amemuimbia saida karoli (Apriciation Kwa Saida) Nimoja ya nyimbo inajumuishwa kwenye Album yake ya pili
ambayo itakua najina AKANYONDO.
Kamdingi fulani ni msanii pekee ambaye aliwai kuajiriwa na Saida Karoli kama Dj Wake,
Saida karoli ndiye pia aliye mpeleka studio Kamdingi Fulani
Kwa mara ya kwanza.
"Nukuu"(Ninakila sababu ya kuingia studio na kurecord nyimbo kama zawadi yangu kwa mama yangu mpendwa alienionyesha njia
ya kua Kamdingi Fulani)
Album ya kwanza ilikua na nyimbo Takriba 8
*Otaye
*Nakutogile
*Bandogile
*Emali ya liba
*Wakatenza
*Niwe wange
*Nkolela Iwe
*Naogopa
*Etc
NASASA AMEMALIZA KUPIKA ALBUM YA PILI
*Akanyondo
*Saida Karoli
*Loading..........
Nimeeelewa sana mkuuu...
ReplyDelete