Breaking News

ELIMU YA BUKOBA ILIPOANZIA 1954 NAKUTUPATIA WASOMI KIBAO!!!!!!!!

          Mazingira ya kashozi primary school ambayo ilifahamika kwa jina la( Kashozi midle school  )miaka ya 1950-1980 ikiwa inamilikiwa na wa missionary na katika miaka ya 1990 ilimilikiwa na serikali.                   


Shule hii ilikua ikifaulisha wanafunzi na kuwagawa katika shule za secondary kama Ihungo,Nyakato na Kahororo Enzi hizo Ihungo ikifahamika kama St Thomas more collage (1954)Enzi hizo Bk SEC Ikiwa inamilikiwa na Wahindi.

No comments