MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA MAMA ANNAMARIA KASHUMBA
KASHOZI KAZINGA
BUKOBA
Kutokana na watu kuwa wengi katika msiba huu ilibidi kupata speaker kwaajiri ya usikivu kila mahari.
Anafahamika kama Mr Kajuna kama mc katika msiba huu.
Nibaada ya watoto wa marehemu wakijikusanya sehemu sehemu moja ili kupata picha za kumbukumbu.
Marehemu akiwa kati makazi mapya (jeneza)
Nikatika atua ya mwisho ya kuweka jeneza katika makazi ya milele
No comments