LIVEEE!! LEADERS CLUB WANANCHI WAENDELEA KUMIMINIKA HAPO HUKU MWILI WA MAREHEMU WASHINDIKANA KUAGWA KUTOKANA NA UMATI WA WATU KUZIDI KUWA MKUBWA
LIVEEE!! MAKABURINI SASA AMBAPO MAREHEMU KANUMBA ANATEGEMEA KUZIKWA LEO
BAADHI YA WANANCHI WAKIWA WAMEKUSANYIKA MAKABURINI KUNGOJA MWILI WA MAREHEMU
MAMIA YA WATU WAKIWA MAKABURINI MUDA HUU
ENEO AMBALO MAREHEMU ANATEGEMEWA KUZIKWA MAPEMA LEO
PICHA LIVE NA TONE MEDIA GROUP
LIVEEE!!!MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AKIWA ANAONDOKA BAADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE WA NGAZI YA JUU MUDA HUU
ASKARI WA USALAMA WA BARA BARANI AKIWA ANAZUIA MAGARI YASIPITE WAKATI MASAFARA WA VIONGOZI UNATAKA PITA MUDA HUU
BAADHI YA WATU WANAPISHA MSAFARA MUDA HUU
ASKARI WA USALAMA WA BARA BARANI AKIWA ANASAFISHA NJIA MUDA HUU
MAKAMU WA RAIS PAMOJA NA VIONGOZI MBALI MBALI WAKIWA WANATOKA ENEO LA TUKIO MUDA HU
PICHA ZOTE NA TONE MEDIA GROUP ENEO LA TUKIO SASA
LIVEEE!! VIWANJA VYA LEADERS CLUB MUDA HUU VIONGOZI MBALI MBALI WA VYAMA NA SERIKARI WAHOJIWA PIA WASANII MBALI MBALI WAFIKA KUMUAGA MAREHEMU KANUMBA
NDUGU NAPE AKIWA ANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA MCHACHE ULIO PITA
MUHESHIMIWA JOSEPH MBILINYI AKIWA ANAONGEA NA WAANDISHI MUDA MCHACHE ULIO PITA
WASANII MBALI MBALI WAKIWA WAMEKAA KUNGOJEA KUAGA MWILI WA MAREHEMU
RAY AKIWA ENEO LA MSIBA MUDA HUU
UMOJA WA WASANII WA BONGO MOVIE WAKIWA PAMOJA MUDA HUU
Picha zote na Abdullah Zulu Lyana
No comments