LIVEEE MUDA HUU MSANII WEMA SEPETU AZIMIA NA ANAKIMBIZWA HOSPITAL KWA SASA
LIVEEE!! TUNAREJEA MAKABURINI AMBAPO BADO GETI HALIJAFUNGULIWA MA ELFU YA WATU WANAZIDI KUMIMINIKA ENEO LA MSIBA HUKU WATU WENGI WAMEZIMIA NA KUKIMBIZWA HOSPITALI
UMATI WA WATU AMBAO WAMETOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB KUJA KUSHUHUDIA MAZISHI
MOJA YA MAKUNDI YA WATU MBALI MBALI AMBAO WANANGOJA KUSHUHUDIA MAZISHI YA MAREHEMU KANUMBA
HAYA NI MAKUNDI YA WATU AMBAO WAPO MBALI KIDOGO NA ENEO LA MAKABURI KUTOKANA NA KUFURIKA ENEO HILO
WATU WAKIWA WANAWASILI MAKABURINI
ASKARI WA USALAMA WA BARA BARANI WAKIHAKIKISHA HALI NI NZURI ENEO HILO
HII NI AMBULANCE AMBAYO IMEBEBA WATU WALIO ZIMIA NA KUKIMBIZWA HOSPITALINI MUDA HUU
PICHA ZOTE NA TONE LIVE MEDIA GROUP ENEO LA TUKIO SASA
No comments