WADAU WATOA HISIA ZAO KWA JINSI WALIVYOGUSWA NA KIFO CHA STEVEN KANUMBA.
KWA MUJIBU WA BONGO STAR LINK
I-VIEW MEDIA
We had argument few days ago with kanumba concerning this photograph which is a movie cover named MOSES... TWICE HE MENTIONED TO ME THAT THIS IS HIS FAVOURATE PHOTOGRAPH EVER..
THIS PHOTO WILL HAVE ITS USE AT HIS FUNERAL IF THE FAMILY ALLOW US TO DO SO

REGINALD MENGI (M/kiti wa makampuni ya IPP).
Its always very painful to lose young talents. R.I.P Kanumba
PROF JAY (Bongo Fleva Artist)
Daaah Gone too soon...REST IN PEACE KANUMBA THE GREAT.
PRODUCER MANECKY kutoka AM REC
Kama
studio hivi nagonga ngoma flan yenye fillings kali mana naona kama Roy
vile ilivyokuwa kama story kumbe kweli The Great ndo Katangulia..Mungu
amlaze Mala Pema PePoni
WAKAZI (Bongo Fleva Artist)
Sijawahi
kukutana na STEVE KANUMBA na wala sijawahi kuona Movie yake hata Moja,
ILA impact yake kwetu ilinilazimu kumuweka in my Punchline in a Song
called HIGHER "...Baller Kutoka Ukonga kama Sheby Kazumba/ Plus My Life
is a Movie, Steve Kanumba/..."
Only GREAT People have had the Priviledge of makin it on my Name drop List, and for that, You didnt make a mistake callin your self just that.... Rest In Peace Steve Kanumba The Great!! © Wakazi
Only GREAT People have had the Priviledge of makin it on my Name drop List, and for that, You didnt make a mistake callin your self just that.... Rest In Peace Steve Kanumba The Great!! © Wakazi
ROMA (Bongo Fleva Artist)
Dakika...chache
baada ya show yangu ya musoma!! Napata taarifa za huu msiba wa THE
GREAT K.A.N.U.M.B.A....sikuamini mpaka nilipopiga simu kwa mmoja wa mtu
wake wa karibu na kunijibu huku analia kuwa bro hatunaye kweli na ndo'
wao wanatoka muhimbili!!....ni msiba mzito na umewagusa wengi nikiwemo!!
Pole sana kaole...pole game 1st quality...pole kwa mpinzani wake
mkubwa Ray....pole kwa ben swahiba wake sana....dah pole kubwa kwa
pacho mwamba!familia yake Na bongo movie wote...pamoja na watanzania
wote!! TUTAKUKUMBUKA KWA MENGI KAKA STEVE.....Tumuombee ndugu ye2
apumzike pema peponi!!na asamehewe dhambi zake!! Oooh kaka umetuacha
ukiwa angali mdogo...inauma sana!!
MRISHO MPOTO (Bongo Fleva Artist)
NILIDHANI
NIMESHAZOEA KUSIKIA HABARI ZA KUSHITUA, LAKINI KWA HII YA KANUMBA? SINA
NGUVU TENA, KAMA MOSHI UMEKWENDA HAUTARUDI, KAMA JANI KWENYE MTI
LIKIDONDOKA HALIRUDI. KANUMBA TUPE ANGALAU DAKI MOJA TUKUAGE RAFIKI
YANGU, NAKUMBUKA UTANI WETU "FITINA MWAKA WAKO HUUMOJA" UMIMEBAKI
HISTORIA KWELI? RUDI JAPO TUSEME NENO KWAHERI
MILLEN MAGESE (Fashion Model)
Rest in Peace my friend...you create jobs ,you believed on our own...and you took them as ur own and give them opportunities to believe on themselves and be who they wanna be and take acting as their career....Where do they go now.....Kanumba!!!? Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi...Pigo la taifa jamani..Poleni Kaole poleni Tanzania...!
SOLO THANG (Bongo Fleva Artist)
R.I.P STEVEN KANUMBA,,,Mungu amekupenda zaid,,Pole kwa familia na ndugu wa karibu na wapaenzi wa bongo movie kwa ujumla,,,gone too soon Hommie!
JOYCE KIRIA (Mtangazaji)
sio Watengeneza Film tu, ila Watanzania tumepoteza kijana muhimu sanaa katika nchi yetu. Kifo hakikutenda haki kabisa, Kifo amekuwa mkatili na kila maneno tutasema. Ila mwisho wa siku tunasema Mapenzi ya Mungu yatimizwe. Bwana ametoa, na Bwana ametwaa jina la Bwana libalikiwe

No comments